Back to homeWatch Original
Shirika la reli lakamilisha ujenzi wa mradi wa huduma ya treni ya abiria wa jiji la Mombasa
video
August 22, 2025
1d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Shirika la reli limekamilisha ujenzi wa mradi wa huduma ya treni ya abiria wa jiji la Mombasa. Mradi huo ulijumuisha ujenzi wa vituo vya abiria mjini Mombasa na Miritini, ujenzi wa daraja la reli lenye urefu wa kilomita 2.3 kuvuka bahari katika eneo la Makupa pamoja na kufufua re..