Back to home

Shofco yafungua vituo viwili vya uwezeshaji jamii katika kaunti za Kisumu na Siaya

video
August 22, 2025
9h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Vituo viwili vya uwezeshaji jamii vimefunguliwa katika kaunti za Kisumu na Siaya. Vituo hivi vinalenga kutoa mafunzo ya elimu, ufundi stadi na huduma za kukabiliana na dhuluma za kijinsia kwa wakazi walioko pembezoni mwa Kenya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Keny..