Back to home

Wakaazi wa Eldoret wapewa fursa ya kutazama mechi baina ya Harambee Stars na Madagascar

video
August 22, 2025
8h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Huku Wakenya wakisubiri Kwa hamu mechi ya Robo Fainali ya kombe la Chan baina ya Timu ya Taifa Harambee Stars na Madagascar, mashabiki katika miji mbali mbali humu nchini watapata fursa ya kufuatilia mechi hiyo moja Kwa moja, kutokana na Ushirikiano baina Chan na shirika la NMG. ..

Wakaazi wa Eldoret wapewa fursa ya kutazama mechi baina ya Harambee Stars na Madagascar (Video)