Back to home

Familia moja mjini Garissa inatafuta majibu

video
August 23, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia moja mjini Garissa inatafuta majibu kuhusiana na jamaa yao, Abdinassir Khalif mwenye umri wa miaka 30, pamoja na marafiki zake wawili wanaodai walitekwa nyara na maafisa wa polisi wa akiba mwaka jana..

Familia moja mjini Garissa inatafuta majibu (Video)