Back to homeWatch Original
Maaskofu wataka vitendo badala ya vitisho
video
August 23, 2025
11h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kanisa katoliki nchini limemtaka Rais William Ruto kuwachukulia hatua wabunge na maseneta wanaodaiwa kugeuza bunge kuwa kitovu cha ufisadi, la sivyo kauli zake za kupambana na ufisadi zitabaki kuwa maneno matupu..