Back to home

Wafanyibiashara wanaoelekea Sudan Kusini wanahangaika

video
August 23, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waendesha magari waliokuwa wamefurahia ujenzi wa barabara ya lami kutoka Lochwangkamatak hadi Nakodok mpakani mwa Kenya na Sudan kusini,wanaendelea kutaabika baada ya sehemu ya barabara hiyo kuingia Sudan kusini kukosa kukamilika kwa miaka tano sasa ,kutokana na mzozo wa mpaka..