Back to homeWatch Original
Wakazi wa Riketa wamefurahia amani ya miaka 12
video
August 23, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Machafuko ya jamii za pokomo na orma kaunti ya Tana River mwaka 2012 yaliwaacha watu 118 wakipoteza maisha yao, maelfu kuacha bila makao. Kijiji cha Riketa ndicho kilichiathirika zaidi. Miaka 13 baadaye makovu ya makabiliano hayo ya kisiasa baina ya jamii hizo mbili yamesalia jap..