Back to homeWatch Original
EACC ipewe Uhuru | Viongozi wa makanisa kwa Rais Ruto
video
August 24, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa makanisa wanamtaka rais William Ruto kutimiza vitisho vyake na kuwachukulia hatia wabunge anaodai wanahusika na ufisadi. Hata hivyo, viongozi hawa waliozungumza kwenye makanisa mbalimbali nchini wamemtaka rais William Ruto kuipa tume ya kukabiliana na ufisadi nchini E..