Back to home

Kindiki alaumu upinzani kwa kuchochea migawanyiko | Atetea hatua za serikali mpakani

video
August 24, 2025
15h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Naye Naibu Rais Kithure Kindiki amewaongoza wanasiasa wa Kenya Kwanza kuwazomea wenzao kwenye upinzani, kwa kile wanasema ni kuhubiri chuki na migawanyiko nchini. Kindiki aliyeongoza hafla za uwezeshaji katika kaunti za Wajir na Garissa ametetea hatua ya serikali kuondoa vikwazo..