Back to home

Sifuna | Rais atumie sheria, sio vitisho kukabili ufisadi

video
August 24, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

WABUNGE WA MRENGO WA KENYA MOJA WANAOONGOZWA NA SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA SASA WANAMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUWEKA WAZI NIA YAKE KATIKA VITA DHIDI YA UFISADI. WABUNGE HAO WANAMNYOOSHEA KIDOLE RAIS NA KUTAJA MATAMSHI YAKE KUWA YA KUTISHA BUNGE ILI KUWAKINGA MAAFISA WA SERIKALI..