Back to home

Shirika la ustawishaji kilimo lakumbatia Teknolojia

video
August 25, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Serikali kupitia Shirika la Ustawishaji Kilimo (ADC) imeanzisha mpango kabambe wa kuwaelimisha wakulima kuhusu umuhimu wa kukumbatia teknolojia ya kisasa katika uzalishaji wa mazao ili kuimarisha usalama wa chakula nchini..