Back to home

Mamlaka ya ustawishaji wa bonde la Kerio yageuza taswira

video
August 25, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Miaka miwili iliyopita, bonde la Kerio lilitambulika kwa ukosefu wa usalama, wizi wa mifugo, na kuhama kwa maelfu ya wakazi. Leo, taswira imebadilika kwa njia isiyotarajiwa, mashamba ya kijani kibichi ya mtama na mahindi yamenawiri, yakiwa alama ya matumaini mapya, kupitia mradi ..