Back to home

Mataifa ya Afrika Mashariki yameshirikiana vyema kuandaa mchuano wa CAF

video
August 25, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kwa mara ya kwanza katika historia, mataifa ya Afrika mashariki, kenya, Uganda na Tanzania, yameshirikiana kuandaa michuano ya mataifa ya CAF, mashabiki wa soka katika ukanda huu wakipata fursa adhimu ya kushuhudia mashindano ya haiba ya juu barani...