Back to homeWatch Original
Wakulima wa parachichi kaunti ya Kisii wapata hasara kutokana na mlipuko wa magonjwa
video
August 25, 2025
1w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Wakulima wa aina ya hass ya matunda ya parachichi katika kaunti ya Kisii wanatoa wito kwa wizara ya kilimo kutafuta suluhu ya kudumu kufuatia mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na oshambulia parachichi ukipenda avocado zao kuanzia mwezi machi mwaka huu. Subscribe and watch NTV Keny..