Back to homeWatch Original
Viongozi wa Kike wa Kenya Kwanza wamtaka Rais Ruto kuzidisha vita dhidi ya ufisadi
video
August 25, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
VIONGOZI WA KIKE Kutoka MRENGO WA KENYA KWANZA WANAMTAKA RAIS KUZIDISHA VITA DHIDI YA UFISADI SI TU KATIKA BUNGE LA KITAIFA BALI PIA KATIKA SERIKALI KUU NA HATA IDARA YA MAHAKAMA. VIONGOZI HAO WAKIWA KAUNTI YA NAKURU WAMESEMA KUWA UFISADI UMEKUWA Ukinyima SERIKALI pesa nyingi..