Back to homeWatch Original
Chama kipya cha kisiasa? | Viongozi wa 'Third Force' waonekana kujinoa kwa siasa
video
August 25, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa mrengo mpya wa kisiasa wa Kenya moja sasa wanasema wanajiandaa kujipima nguvu kwa uwezekano wa kubuni chama kipya cha kisiasa. Viongozi hawa wanaojumuisha baadhi ya waliokuwa wanasiasa wa ODM na UDA wameonekana kujipigia debe na kuandaa mikutano kivyao. Lakini je, wan..