Back to home

Mjane wa miaka 76 amepokezwa nyumba mpya na vifaa vipya

video
August 26, 2025
1h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mjane mwenye umri wa miaka 76, Margaret Anyango Oriema, kutoka kijiji CHA Gangu, Rarieda, amepokea nyumba mpya pamoja na samani na vifaa vya malazi, msaada uliotolewa na taasisi ya katibu wa wizara ya usalama Dkt. Raymond Omollo..