Back to homeWatch Original
viongozi wapya wamewahakikishia wanachama wote usawa
video
August 26, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wapya wa chama cha ODM kaunti ya Kisii wamewahakikishia wanachama na wenyeji wa kaunti ya Kisii kwamba wako tayari kuhakikisha kuwa eneo la gusii litasalia kuwa ngome ya chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027...