Back to homeWatch Original
Wakazi wa Osiri, Kisumu, wakadiria hasara baada ya mvua kubwa ya mawe kusomba mifugo
video
August 26, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Makumi ya wakazi wa kijiji cha Osiri kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara baada ya mvua kubwa ya mawe kusababisha uharibifu Jumatatu usiku. Majumba, madarasa na mazao ya shambani ni baadhi ya vitu vilivyoharibiwa huku mamia ya mifugo pia wakisombwa..