Back to home

'Duale Awajibike!' | Maraga na COTU watoa kauli kuhusu sakata la SHA

video
August 26, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Jaji Mkuu wa zamani David Maraga sasa anamtaka waziri wa afya Aden Duale kuwajibikia vurugu linaloshuhudiwa katika bima ya afya ya SHA. Maraga sasa akitaka tume ya kupambana na ufisadi EACC kuingilia kati uchunguzi kuhusu ulaghai wa bima hiyo...