Back to homeWatch Original
Malkia Strikers wajiandaa kwa mechi ya mwisho ya makundi dhidi ya Vietnam, Phuket Thailand
video
August 26, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Timu ya taifa ya voliboli ya kenya malkia strikers watatafuta kumaliza kwa kiwango cha juu watakapocheza na Vietnam jumatano katika mechi yao ya mwisho katika kundi "G" la mashindano ya dunia ya F.I.V.B huko Phuket, Thailand..