Back to home

Mwanamke Bomba - Mafanikio ya Jamila Kizondo katika kueneza lugha ya Kiswahili mtandaoni

video
August 26, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wengi waliotangamana naye wanamfahamu kwa kuenzi lugha ya Kiswahili na hata kuzungumza lugha hii kwa ustadi hadi nchini Marekani. Jamila Kizondo si mgeni kwa wanaotumia mitandao ya Kijamii, akianza umaarufu wake mtandaoni kwa kutoa mafunzo kuhusu lugha ya Kiswahili na Uswahili. K..