Back to home

Serikali yafadhili miradi ya unyunyiziaji Maji Mashamba

video
August 27, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wizara za kilimo na ya Maji zimeshirikiana kuanzisha mradi wa unyunyiziaji Maji Shambani kwa Wakulima wa kaunti ya Garissa ili kukabiliana na uhaba wa chakula katika maeneo kame nchini..