Back to homeWatch Original
Anthony Kyalo Kisoi apewa tiketi ya Wiper Patriotic Front
video
August 27, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Chama cha Wiper Patriotic Front kimemtangaza Anthony Kyalo Kisoi kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo wa Wadi ya Mumbuni Kaskazini utakaofanyika mwezi Novemba..