Back to home

Mashirika yaiagiza serikali kutekeleza katiba kikamilifu

video
August 27, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Vuguvugu la Katiba Institute linaitaka serikali na viongozi wote kwa jumla kutekeleza katiba kwa ukamilifu. Wamesisitiza kuwa mamlaka yote ni ya mwananchi na hivyo juhudi za kuhakikisha katiba imetekelezwa ni sharti ziendelee...