Back to home

Rais Ruto aapa kuwakomesha walaghai wa SHA

video
August 27, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais William Ruto sasa anasema serikali itawakamata na kuwashtaki watu au hospitali zinazohusika na ufisadi kwenye bima ya afya ya SHA. Rais akionya kuwa serikali haitakaa kimya huku mabilioni ya pesa yakiendelea kupotea kutokana na ukora wa baadhi ya watu nchini. Rais aliyezungu..