Back to homeWatch Original
Michezo ya Kandanda | Stacy Mososi aibuka mwakilishi wa pekee wa Nyanza jumuiya ya Afrika Mashariki
video
August 27, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Stacy Mososi, mwanafunzi wa gredi ya tano amerejea nyumbani baada ya kuwa wa pekee kuwakilisha eneo la Nyanza kwenye michezo ya kandanda ya jumuiya ya afrika mashariki. Stacy amepokewa katika kijiji chao cha Bonyawanya huko Mugirango Kusini kwa mbwembwe na sherehe wakimtaja kama ..