Back to home

Mchakato wa kuwavutia wawekezaji wa KTB

video
August 28, 2025
8h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Bodi ya utalii nchini (KTB) imeanza mchakato wa kuvutia waekezaji wa kimataifa katika sekta ya utalii kuekeza kwa miundo mbinu ya kisasa ya mikahawa na hoteli za kifahari katika eneo la Pwani ili kuongeza idadi ya watalii wanaozuru eneo hilo..