Back to home

Uhuru wa Bunge la kitaifa na lile la Seneti umeendelea kuwekwa kwenye darubini

video
August 28, 2025
8h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Uhuru wa bunge la kitaifa na lile la seneti umeendelea kuwekwa kwenye darubini, miaka 15 tangu kuanza kutekelezwa kwa katiba ya sasa. Bunge kwa miaka mingi likionekana kutekwa na serikali ya kitaifa kutimiza malengo yake, huku maswala ya uwajibikaji wa maswala yaliyo wazi ukikoso..