Back to homeWatch Original
Clive Gisairo: Kama Rais anataka kupambana na ufisadi aanze na jumba lake
video
August 28, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Clive Gisairo- Mbunge, Kitutu Masaba: Kama Rais anataka kupambana na ufisadi, aanze na jumba lake, kwa sababu ufisadi uko ndani ya Ikulu kabla hata hajafika Bungeni. Kwa majuma machache tumeona mabasi yakisafirisha vijana na kila mmoja kupewa elfu kumi, pesa ambazo haziko kwenye ..