Back to homeWatch Original
Mwanafunzi mwerevu akosa pesa za kulipa bili ya matibabu kaunti ya Bungoma
video
August 28, 2025
8h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Huku shule zikifunguliwa kwa mhula wa tatu wiki hii, hatma ya ndoto ya Lewisy Baraka wanyele mwanafunzi wa Shule ya Upili ya Bahai Namawanga iliyoko eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma huenda ikazimwa...