Back to home

Mahakama yasitisha ujenzi wa kanisa katika Ikulu ya Rais

video
August 28, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Hakuna ujenzi wowote wa kanisa la kudumu au hata maeneo ya ibada unaoweza kuendeshwa katika ikulu ya Rais kwa sasa. Hii ni baada ya Mahakama kusitisha ujenzi wa maeneo haya ya ibada pia kwenye ikulu ndogo nchini..