Back to homeWatch Original
Wafugaji Samburu wasalia kimya kuhusu dhulma za kijinsia licha ya kesi hizo kuongezeka
video
August 28, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Licha ya Kaunti ya Samburu kurekodi ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia, idadi kubwa ya wakazi ambao ni wafugaji huwa hawaripoti visa hivyo wala kuwasilisha kesi hizo mahakamani..