Back to homeWatch Original
Mbadi asema kuwa bunge halina mamlaka ya kubatilisha agizo la serikali la kutumia mfumo wa 'EGP'
video
August 28, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri wa fedha John Mbadi amepuuzilia mbali uamuzi wa bunge wa kusitisha agizo lake la kuwataka maafisa wote wa serikali kuu na kaunti kutumia mfumo mpya wa kieletroniki wa kutoa kandarasi 'egp' akisisitiza kuwa bunge halina mamlaka ya kubatilisha amri ya serikali...