Back to home

Baadhi ya shule za kaunti ya Bungoma zatia fora kwenye mashindano ya afrika mashariki ya JSS

video
August 29, 2025
3h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Shangwe, vifijo na nderemo viliteka anga katika baadhi ya shule za kaunti ya bungoma baada kutia fora kwenye mashindano ya afrika mashariki ya jss yaliyofanyika kaunti ya kakamega. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. ..