Back to home

Waathiriwa wawili walifika mbele ya kamati ya bunhe kuhusu afya na kuelezea masaibu waliyopitia wali

video
August 29, 2025
1h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Siku ya pili ya vikao vya kamati ya afya bunge la kitaifa jijini eldoret kuhusiana na sakata ya biashara haramu ya figo na waathiriwa wawili walifika kuelezea masaibu yao. Emmanuel Kipkosgei na Amon Kipruto wameelezea namna walivyoahidiwa malipo ya shilingi milioni moja na laki m..