Back to homeWatch Original
Seneti kuamua hatma ya Gavana Mutai kufuatia ukaguzi wa kura
video
August 29, 2025
2h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Bunge la Seneti linatarajiwa kuamua hatma ya gavana wa Kericho Eric Mutai usiku wa leo. Kwenye uamuzi wake, bunge hilo litaongozwa na ripoti ya ukaguzi wa mtambo wa upigaji kura kupitia arafa, mtambo uliotumiwa na bunge la kaunti ya Kericho kumtimua Mutai ripoti hiyo itawasilish..