Back to homeWatch Original
Tusker yadhamini Kabeberi Sevens kuanzia Septemba 5 katika RFUEA
video
August 29, 2025
3h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Raundi ya George Mwangi Kabeberi ya msururu wa raga ya wachezaji saba kila upande humu nchini, ambayo itafanyika uwanjani RFUEA kuanzia Septemba tarehe 5 hadi 7 imedhaminiwa na Tusker. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyan..