Back to home

CHAN: Maelfu ya mashabiki wafurika Kasarani kuhudhuria fainali kati ya Madagascar na Morocco

video
August 30, 2025
11h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Maelfu ya mashabiki sio tu kutoka nchini bali pia nje ya nchi walifurika katika uga wa Kasarani kuhudhuria fainali kati ya Madagascar na Morocco. Licha ya mechi hiyo kuanza mwendo wa saa kumi na mbili jioni mashabiki walianza kufika uwanjani saa sita mchana wengi wakihofia kungek..