Back to homeWatch Original
Rais Ruto akutana na rais wa FIFA Gianni Infantino Ikuluni Nairobi
video
August 30, 2025
11h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Huku pazia la kipute cha CHAN 2024 likifungwa, Rais William Ruto alikutana na Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (fIFA), Gianni Infantino, katika Ikulu ya Nairobi mapema leo kabla ya mchuano wa fainali kati ya Madagascar na Morocco unaoendelea ugani Kasarani..