Back to homeWatch Original
Familia za waliopoteza wapendwa wao kutokana na maandamano ya kizazi cha gen Z walilia haki
video
August 30, 2025
11h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Familia za waliopoteza wapendwa wao kutokana na maandamano ya kizazi cha gen Z mwaka jana huko Mombasa pamoja na jamaa waliotoweka au kuaminika kutekwa nyara na polisi zinalilia haki. Wanasema imekuwa vigumu kufunga ukurasa huo..