Back to homeWatch Original
Kuimarika kwa usalama kumefufua biashara Lamu
video
August 30, 2025
10h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kuimarika kwa usalama kaunti ya Lamu kumefufua biashara na uwekezaji kaunti hiyo. Hali hiyo imepiga jeki sekta za kilimo, uvuvi, uchukuzi, viwanda na utalii na kuwafaidi wakazi kwa mapato..