Back to homeWatch Original
Watangazaji wa Royal Media waungana na wakaazi wa Soy kwa ibaada ya jumapili
video
August 31, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kampuni ya Royal Media Services imetamatisha ziara ya siku tatu katika Kaunti ya Uasin Gishu kwa ibada ya Jumapili. Watangazaji wa Radio Citizen waliungana na waumini mjini Soy kwa ibada hiyo ya kipekee huku hapa Nairobi, mashabiki wa nyimbo za injili walitumbuizwa na mwanamuziki..