Back to home

Maimamu wa eneo la magharibi washinikiza mabadiliko SUPKEM

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 1, 2025
1w ago
Maimamu kutoka eneo la Magharibi wamenishinikiza umuhimu wa mabadiliko katika Baraza Kuu la Waislamu Nchini (SUPKEM), wakilalamikia kile wanachokitaja kama uongozi usio na uwazi na mgawanyiko unaoendelea. Wakizungumza katika kongamano la maimamU na wahubiri kutoka magharibi mwa