Back to home

Viongozi wa jamii za Ameru na Somali wamaliza uhasama wao

video
September 1, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Viongozi wa jamii za Ameru na Somali wanaoishi katika kaunti ya Garissa wameahidi kuishi kwa amani na kumaliza uhasama wao kwa kutangamana na kufanya biashara pamoja. Wakizungumza wakati wa kutawazwa kwa viongozi wa jamii ya Ameru mjini Garissa, viongozi hao walisifia historia nd..