Back to home

Walimu, wanafunzi na wakulima wapewa mafunzo maalum kuhusu mboga za kienyeji Kisii

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 1, 2025
1w ago
Mpango wa kuanzisha matumizi ya vyakula vya kiasili katika shule zote nchini tayari imeng'oa nanga katika kaunti 5 nchini. Mpango huo unafuatia mafunzo kabambe ambayo yametolewa na maafisa wakuu wa makavazi ya kitaifa kwa wakulima , walimu wakuu na jamii kwa ujumla. CHRISPINE O