Back to home

Wakazi wa Shella, Lamu waandamana wakipinga unyakuzi wa ardhi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 1, 2025
1w ago
Wakazi wa Shella Kisiwa cha Amu wanahofia huenda ukosefu wa maji ukashuhudiwa katika Kisiwa hicho kutokana na kuendelea kuvamiwa kwa ardhi za maeneo ya chemichemi ya maji ya matuta ya mchanga wa bahari eneo hilo la Shella.Wakaazi hao aidha wamefanya maandamano wakitaka wanaofanya