Back to homeWatch Original
Shule ya msingi na mabweni ya SDA mjini Narok imefungwa baada ya mwanafunzi kuuawa
video
September 1, 2025
4d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa wa elimu mjini Narok wamefunga shule ya msingi ya Seventh Day Adventist na Sekondari msingi baada ya mwanafunzi mmoja wa kiume kuuawa katika njia tatanishi. Maeneo kadhaa ambapo mwendazake anadaiwa kukumbana na mauti yake yalikuwa na madoa ya damu hasa katika vyoo vya wa..