Back to homeWatch Original
Magavana wapinga kandarasi za kidijitali, watuhumu serikali kuingilia majukumu yao
video
September 1, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Magavana sasa wamekubaliana kuwa hawatakubali kujumuishwa kwenye mfumo wa kidijitali wa kutoa kandarasi za serikali. Katika kikao maalum hii leo, magavana wanaishutumu serikali ya kitaifa kwa kuingilia utendakazi wa kaunti...