Back to homeWatch Original
Harambee Stars kambini, yaiva kumenyana na Gambia
video
September 1, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Timu ya taifa ya kandanda harambee stars imerejea mazoezini kujiandaa kwa mechi mbili za kufuzu kwa kombe la dunia zitakazochezwa Ijumaa na Jumanne kwenye uwanja wa Kasarani...